Haiku in Swahili
My grateful thanks to Caleb Mutua of Nairobi, Kenya, who translated the following haiku of mine into Swahili on 10 February 2011.
low summer sun— ja la chini la kaskazi—
the shadow of an earring kivuli cha kipuli changu
on your cheek kwenye shavu lako
after the quake— baada ya tetemeko—
adding I love you kuongeza nakupenda
to a letter kwenye barua
fresh snow on the mat— theluji mbichi kwenye mkeka—
the shape of welcome muundo wa karibu
still visible bado unaonekana
after dinner mints peremende za baada ya chajio
passed round the table zazungushwa kwenye meza
. . . slow-falling snow . . . theluji inayoanguka taratibu
home for Christmas— Krismasi nyumbani
my childhood desk drawer kidawati changu cha utotoni
empty hakina kitu